"Wanasiasa wasi chochee ukabila katika uchaguzi"

Viongozi waki siasa nchini Kenya Source: State House, Kenya
Migawanyiko na mivutano inaendelea kuongezeka nchini Kenya, masaa machache kabla ya marudio ya uchaguzi wa urais tarehe 26 Oktoba 2017. Baadhi ya vijana kutoka jamii yawa Kenya wanao ishi Australia walichangia maoni yao na SBS Swahili.
Share




