Kura ya maoni mpya ime onesha kuwa, wa Australia wako tayari kukabiliana na benki ambazo hazi timizi wajibu wazo ipasavyo. Oxfam Australia ni shirika linalo toa msaada, shirika hilo lime sema kwamba takriban nusu ya watu walio shiriki katika kura ya maoni ambayo shirika hilo ilifanya, walisema wanaweza badili benki wanayo tumia, waki gundua kuwa taasisi hizo zinatumika bila maadili.
Share






