Hatua hiyo inamaana wa Australia wengi wenye mapato ya chini, watapigwa jeki kifedha ila wazo hilo lime zua wasi wasi miongoni mwa waajiri, ambao wanaonya kuhusu uwezekano wa watu kupoteza ajira.
Shinikizo laongezeka kuhusu 'mshahara wakumudu gharama yakuishi'

Maandamano nchini Ujerumani kuhusu mshahara wakumudu maisha Source: Getty Images
Kasi inaongezeka kwa mshahara wachini kubadilishwa na mshahara "wakumudu maisha", kwa ajili yaku hakikisha hakuna mfanyakazi anaye ishi katika hali ya umaskini ila, kuna mgawanyiko wa maoni kuhusu jinsi yakutoa nyongeza hiyo.
Share