Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Serikali ya Victoria yazindua mradi wakukabiliana na ubaguzi kazini

Waziri wa maswala yakitamaduni wa Victoria Robin Scott
Waziri wa maswala yakitamaduni wa Victoria Robin Scott Source: AAP

Upendelea usio wazi ume tajwa kuwa sababu moja ambayo baadhi yawa Australia kutoka jumuiya ambazo Kiingereza si lugha yao ya kwanza, hukosa fursa zaku ajiriwa.


Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Upendelea usio wazi ume tajwa kuwa sababu moja ambayo baadhi yawa Australia kutoka jumuiya ambazo Kiingereza si lugha yao ya kwanza, hukosa fursa zaku ajiriwa.


Mradi mpya ambao ume wekezwa na serikali ya Victoria una tarajiwa kukabiliana na visa vya ubaguzi kupitia mchakato waku omba ajira.

Makala yafuatayo yana chunguza baadhi ya changamoto ambazo waathirika wa swala hili hukabiliana nazo.

 


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now