Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Uwekezaji, intanet ya kasi na mikataba ya upendeleo

Waziri Mkuu wa Australia Malcolm Turnbull (kushoto) na kiongozi wa Upinzani Bill Shorten (kulia)
Waziri Mkuu wa Australia Malcolm Turnbull (kushoto) na kiongozi wa Upinzani Bill Shorten (kulia) Source: AAP

Wiki tatu zina salia hadi siku ya uchaguzi mkuu, serikali ya Turnbull ime wekeza bilioni za dola katika juhudi zaku hifadhi ufa mkubwa unao julikana kama The Great Barrier Reef ambalo linakabiliwa na athari kutoka majini na nchi kavu.

Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS

Share this with family and friends

Wiki tatu zina salia hadi siku ya uchaguzi mkuu, serikali ya Turnbull ime wekeza bilioni za dola katika juhudi zaku hifadhi ufa mkubwa unao julikana kama The Great Barrier Reef ambalo linakabiliwa na athari kutoka majini na nchi kavu.

Chama cha upinzani kwa upande wake kime anza wiki kwaku ahidi kufuta mfumo wa chama cha mseto wa NBN, nakurejesha mfumo wa mtandao wa chama cha Labor.

Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now