Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Shughuli zauokoaji zaendelea baada ya jengo kuporomoka mjini Nairobi

Wafanyakazi kutoka kitengo cha vijana wanao tuo huduma ya taifa, wakitoa mawe kwa mikono kutoka eneo ambako jengo liliporomoka mjini Nairobi
Wafanyakazi kutoka kitengo cha vijana wanao tuo huduma ya taifa, wakitoa mawe kwa mikono kutoka eneo ambako jengo liliporomoka mjini Nairobi Source: AP

shughuli za uokoaji zina endelea kwa kina kujaribu kuondoa waathirika wakiwa hai ndani ya jengo lililo poromoka wikendi iliyo pita.


Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


shughuli za uokoaji zina endelea kwa kina kujaribu kuondoa waathirika wakiwa hai ndani ya jengo lililo poromoka wikendi iliyo pita.


Kufikia sasa zaidi ya watu 130 wame okolewa kutoka jengo hilo ilhali imeripotiwa kuwa idadi ya watu ipatayo 14 wame fariki.

Miongoni mwa sababu ambazo zime laumiwa kwa ajali hiyo ni; ujenzi mbaya pamoja na idadi kubwa ya wakazi ndani ya jengo hilo.

 


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now