Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Kenya yazua mgogoro waki diplomasia na Taiwan

Washukiwa wa biashara za udanganyifu walio timuliwa kutoka Kenya wapelekwa Beijing China.
Washukiwa wa biashara za udanganyifu walio timuliwa kutoka Kenya wapelekwa Beijing China. Source: AAP

China imesema kundi la raia wa Taiwan walio fukuzwa kutoka Kenya nakurejeshwa China, wanachunguzwa juu ya madai ya udanganyifu.


Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


China imesema kundi la raia wa Taiwan walio fukuzwa kutoka Kenya nakurejeshwa China, wanachunguzwa juu ya madai ya udanganyifu.


Kisa hicho kime zua mzozo waki diplomasia nakuzua hasira miongoni mwa watawala wa Taiwan, ambao wame ishtumu Kenya kwaku ondoa watu hao nchini kinyume na sheria, na China kwa upande wayo ime shtumiwa kwa tendo la utekaji nyara.

Kenya iko katika orodha ya mataifa ambayo haya tambui Taiwan kama taifa huru.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now