Roy: "Tukingoja msaada wa serikali watu watakufa"

Mtaa wamabanda wa Mathare

Mtaa wamabanda wa Mathare Source: UN-HABITAT

Je nijukumu la watu binafsi kutoa misaada kwa jamii wakati wa janga, wakati hilo ni jukumu la serikali?


Wanachama wa shirika la Kenya Australia Chamber of Commerce, wamejitwika jukumu lakuwasaidia wajane na mayatima, ambao wanaishi katika mtaa wamabanda wa Mathare, mjini Nairobi Kenya.

Wajane namayatima hao, ni baadhi ya kundi la watu ambalo litaathiriwa zaidi na virusi vya corona, iwapo patakuwa mlipuko wa virusi hivyo katika eneo hilo la Mathare.

Mwakilishi wa shirika hilo Roy alieleza Idhaa ya Kiswahili ya SBS, kuhusu hatua ambayo yeye nawenzake wamechukua kuwasaidia wakazi wa Mathare.


Share

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now