Ripoti ya siri ya watalaam wa Umoja wa Mataifa imeishtumu Rwanda kwa kutoa maagizo na kudhibiti shughuli za waasi wa M23.
Tazama makala yetu yaliyo rekodiwa hapa
Imeripotiwa kuwa hatua hiyo imewafanya kupata umaarufu wakisiasa katika eneo la mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa zaidi kutoka kwa Mwandishi wetu Jason Nyakundi.





