Usiku wa tamaduni yakinyarwanda Sydney

Bango la Usiku wa tamaduni wakinyarwanda Sydney Source: Rwandan Community of NSW
Jamii ya wanyarwanda wanao ishi NSW, wana andaa tamasha Jumamosi 18 Novemba 2017 mjini Sydney, NSW. Mwenyekiti wa jamii hiyo Noel, ame eleza SBS Swahili kuhusu baadhi ya miradi ambayo jamii hiyo changa inafanya.
Share




