SBS Swahili ili hudhuria tukio maalam ambako wana Sappeur wa Sydney walishiriki katika sehemu ya maonesho ya harakati za Sapeur kwaku pigwa picha ambazo zita tumiwa katika maonesho ya Sapologie yakimataifa.
Maonesho ya wanamitindo ya Sapologie
Bw Kisimba na familia yake wakijiandaa kwa picha za maonesho ya wana mitindo Source: SBS Swahili
Wanaharakati wa Sapologie wana endelea kuongezeka kwa idadi na umaarufu ulimwenguni na nchini Australia.
Share




