Wimbi la Sapologie sasa lime wasili nchini Australia na SBS Swahili ili kubali mwaliko wa wanachama wa kundi hilo, kuhudhuria tamasha yakumenzi marehemu Papa Wemba.
Haya hapa makala maalum tuliyo waandalia baada yakuzungumza na Sapeur wa Australia.
Share





