Serikali ya Australia yajaribu kutuliza wasiwasi kuhusu faragha, kwa app ya ufuatiliaji ya coronavirus iliyozinduliwa

聯邦政府希望有四成國民下載有關程式

聯邦政府希望有四成國民下載有關程式 Source: SBS

Serikali ya shirikisho imejaribu kutoa uhakika kwa wasiwasi kuhusu faragha, serikali inapo zindua app yake ya ufuatiliaji.


Lengo la app hiyo nikufuwafuatilia walio kutana na mtu mwenye virusi vya COVID-19. Kwa upande wake serikali ya shirikisho imesema sheria ya app hiyo, itafikishwa bungeni katika kikao cha wiki ya tarehe 11 Mei 2020.

Utafiti mpya kutoka taasisi ya Australia umeonesha kuwa, asilimia 45 yawa Australia, umesema kuwa wata pakua nakutumia app hiyo, wakati asilimia 28 wamesema hawata ipakuwa app hiyo. Na asilimia 27 hawakuwa na uhakika kuhusu watakacho fanya kuhusu app hiyo.

Na unaweza endelea pata taarifa kuhusu coronavirus katika lugha yako kwenye tovuti hii: sbs.com.au/coronavirus.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Serikali ya Australia yajaribu kutuliza wasiwasi kuhusu faragha, kwa app ya ufuatiliaji ya coronavirus iliyozinduliwa | SBS Swahili