Wito huo umejiri wakati serikali inatetea uamuzi wake, wakuto ongeza muda wa mradi huo kutumiwa.
Serikali ya shirikisho yakataa kubadili msimamo wao kwa mradi wa JobKeeper

Mweka hazina wa taifa Josh Frydenberg Source: SBS
Chama cha upinzani cha shirikisho kime muomba mweka hazina aelezee jinsi hesabu zakutoa mradi wa JobKeeper zilivyo fanywa kimakosa.
Share