Serikali yashinikizwa ihakikishe tafsiri za ujumbe wa afya nisahihi

Anthony Albanese asema jamii kutoka tamaduni mbali mblai zinaweza kuwa hatarini

Anthony Albanese asema jamii kutoka tamaduni mbali mblai zinaweza kuwa hatarini Source: AAP

Shinikizo inaongezeka kwa serikali ya shirikisho, ihakikishe ujumbe wa afya kuhusu coronavirus katika lugha zingine, ukosahihi baada ya baadhi ya tafsiri kupatwa zina kasoro.


Makosa hayo nisehemu ya mjadala mpana kuhusu mbinu gani, itakuwa bora kutoa taarifa kwa jamii zenye tamaduni na lugha tofauti kuhusu hatari za COVID-19.

Waandishi wa utafiti wa Chuo cha Monash wanapendekeza tume yaushauri yakitaifa iundwe, kwa ajili yakusaidia mamlaka kuunda ujumbe waki afya wa umma, kwa matumaini yakuongeza nguvu ushirikiano wa sasa.

Mapema mwaka huu, serikali ya shirikisho ilitupilia mbali taarifa kuwa, ilifeli kushauriana ipaswavyo na jamii zawahamiaji, wakati ilikuwa iki toa jibu kwa janga hili.

Tarehe 27 Agosti viongozi wajamii mbali mbali, wanatarajiwa kutoa ushahidi katika uchunguzi wa kikao cha bunge la Victoria, kwa jinsi serikali ya jimbo hilo ilivyo jibu janga la coronavirus.

Na unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu coronavirus katika lugha yako kwenye tovuti hii: sbs.com.au/coronavirus.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service