Wakalimani wana weza fanya vitu kadhaa kama, kutafsiri hati rasmi, kukusindikiza kumwona daktari naku hakikisha unaelewa kinacho endelea katika lugha yako.
Mwongozo wa Makazi: Je wajua unaweza hudumiwa na mkalimani bila malipo?
Mkalimani akitoa huduma Source: Getty Images
Wakalimani na watafsiri rasmi wanaweza toa mchango mkubwa, kama wewe ni mgeni Australia.
Share