Mamilioni ya watu katika maeneo ya kusini mashariki Australia, wanakabiliwa kwa ongezeko la tisho kubwa la moto hii leo Jumanne 17 Februari, mamlaka ikionya kuhusu uwepo wa wingi wa mafuta makavu licha ya mioto ya hivi karibuni.
Nchini Kenya, mpasuko wa kisiasa ndani ya chama cha siasa cha ODM umeendelea ambapo mwishoni mwa wiki iliyopita, pande mbili zinazovutana kuhusu kumuunga mkono rais William Ruto, ziliandaa mikutano ya hadhara.
Kuteuliwa Burundi kuwa mwenyekiti wa umoja wa Afrika, kunatarajiwa kuleta tija katika kutatuwa migogoro inayo zikabili baadhi ya nchi za jumuia hiyo kutokana na Burundi kuwa na uzoefu katika maswala ya kusimamia amani na
Bonyeza hapo juu kwa taarifa zaidi.





