Mwongozo wa Makazi: Jinsi yaku jisajili katika mfumo wa Medicare

Medicare: kadi yaku lipia gharama ya matibabu nchini Australia

Medicare: kadi yaku lipia gharama ya matibabu nchini Australia Source: AAP

Medicare ni mfumo ulio wekezwa kwa afya ya umma.


Unapo fuzu kutumia mfumo huo, unaweza tumia huduma tofauti za afya bila malipo, pamoja nakuhudumiwa kama mgonjwa katika hospitali za umma au kununua dawa kwa gharama ya chini.

Je mfumo huo hutumikaje, na nina anafuzu kuutumia na utaratibu waku sajiliwa kuutumia ni upi?

Iwapo unataka kuchunguza kama unafuzu kupokea Medicare, kujisajili au una swali lolote, tembelea tovuti ya huduma za binadam au pigia simu namba ya Medicare ambayo maswali ya jumla hujibiwa. Namba hiyo ni 132 011.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Mwongozo wa Makazi: Jinsi yaku jisajili katika mfumo wa Medicare | SBS Swahili