Mwongozo wa makazi: Jinsi yakuzuia visa vyakuzama majini

Water safety experts warn Australians not to swim at unfamiliar or unpatrolled beaches, after another drowning death Source: AAP
Wakati msimu wa majira ya joto mkali unakaribia kuanza, mamlaka wana wahamasishwa waogeleaji wafanye tahadhari, idadi ya watu wanao zama majini ikiwa imeongezeka kwa asilimia kumi tangu mwaka jana.
Share