Ofisi ya takwimu ya Australia ime sema kuwa idadi yawa Australia wapatao milioni 3.3 wamekabiliwa na unyanyasaji toka kwa mpenzi wao tokea walipokuwa na umri wa miaka 15.
Katika jumuiya zawa hamiaji, kuna vizuizi vya ziada ambavyo vinaweza athiri uzoefu wa unyanyasaji huo. Hata hivyo, wataaalam wame sisitiza umuhimu waku elewa utamaduni kwa ajili yaku hudumia waathiriwa wa unyanyasaji wakihisia.
Kwa hiyo unyanyasaji wakihisia ni nini na madhara yake ni yapi?
Share





