Wakati wakukodisha nyumba, wapangaji wana haki muhimu pamoja na wajibu.
Hata hivyo utafiti mpya ume baini kuwa wapangaji wengi hukabiliana na maswala ya ubaguzi na wasi wasi, mahamiaji wapya hususan hujikuta katika mazingira magumu, yakubaguliwa pamoja na unyonyaji ndani ya soko la nyumba.
Share





