Ila mjini Sydney, vijana wenye asili ya Kenya wame ungana nakutengeza shirika ambalo wame lipa jina la G.O.O.N.S (Good, Organised, Outstanding, Neutral, System).
Katika mazungumzo maalum waliyo fanya na SBS Swahili, wakati wa maadhimisho ya siku ya Madakaraka ya Kenya mjini Fairfield, NSW Bw Shariff akiwa pamoja na baadhi ya viongozi wenzake wa G.O.O.N.S walifunguka kwa nini walikumbatia jina hilo na shughuli wanazo fanya kupitia shirika hilo.
Kwa taarifa zaidi kuhusu shirika la G.O.O.N.S, tembelea mitandao ya kijamii.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.