Sharon achangia uzoefu wake wa vizuizi vya COVID-19

Mwanafunzi wakimataifa Sharon akiwa ndani ya bustani mjini Melbourne

Mwanafunzi wakimataifa Sharon akiwa ndani ya bustani mjini Melbourne Source: Sharon Gitonga

Wanafunzi wakimataifa nchini Australia, hukabiliana na changamoto nyingi katika maisha yao ya kila siku.


Wakati wengi wao hupokea msaada kutoka serikali au familia zao, wanafunzi wengi wakimataifa humudu gharama za maisha, kupitia kazi katika makampuni namashirika mbalimbali.

Wanafunzi wakimataifa ni miongoni mwa makundi katika jamii, yaliyo hisi madhara makubwa zaidi ya janga la COVID-19. Je vizuizi pamoja na hatua zingine, ambazo zimechukuliwa na serikali zamajimbo nchini kukabili janga hili, zimewaacha wanafunzi wakimataifa katika hali gani?

Sharon ni mmoja wa wanafunzi wakimataifa mjini Melbourne, alichangia uzoefu wake wa vizuizi na hatua ambazo serikali ya jimbo la Victoria, imechukua kukabili janga hili. Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service