Bi Sheila Matete-Owiti amebadili takwimu hiyo, kwaku andika naku zindua kitabu chake kwa jina la: A Royal Priesthood.
Sheila ahamasisha kizazi kipya cha waandishi wa vitabu wafuate ndoto zao

Baadhi ya wadau walio hudhuria uzinduzi wa kitabu cha Sheila, waonesha kitabu hicho katika picha Source: SBS Swahili
Ni nadra kwa wanawake wakiAfrika, kuandika vitabu kuhusu maswala yakidini.
Share




