Sheila Matete-Owiti katika uzinduzi wa kitabu chake Source: SBS SwahiliImekuwa safari ndefu yakiroho kwa Sheila Matete-Owiti, ambayo ilikamilika kwa kuchapisha kitabu chake kipya: Kenya A Royal Priesthood.
Published
By Gode Migerano
Presented by Gode Migerano
Source: SBS
Skip to podcast episode contentShare this with family and friends
Imekuwa safari ndefu yakiroho kwa Sheila Matete-Owiti, ambayo ilikamilika kwa kuchapisha kitabu chake kipya: Kenya A Royal Priesthood.
SBS Swahili ilizungumza na Sheila katika hafla ya uzindunzi wakitabu hicho, ambako alitueleza kwa upana kuhusu motisha yakuandika kitabu hicho.