Mwanafunzi afikishwa katika shule ya Presbyterian Ladies College mjini Sydney Source: SBSWakati Uingereza imechukua hatua yakufunga shule zote, shinikizo linaendelea kuongezeka kwa serikali ya Australia ichukue hatua hiyo pia.
Published
Updated
By Lucy Murray, Jennifer Scherer
Presented by Gode Migerano
Source: SBS
Skip to podcast episode content
Share this with family and friends
Wakati Uingereza imechukua hatua yakufunga shule zote, shinikizo linaendelea kuongezeka kwa serikali ya Australia ichukue hatua hiyo pia.
Ila kwa sasa serikali imesema wanafunzi wanastahili baki shuleni, na wazazi wao wabaki kazini.
Hata hivyo, baadhi ya shule binafsi zimeanza kuhamishia mafunzo mtandaoni.