Kiongozi wa upinzani Bill Shorten amezindua mpango utakao mpa fursa yakuwa Waziri Mkuu wa Australia alipo toa hotuba yaku jibu bajeti iliyo tangazwa na serikali ya mseto.
Wakati kampeni ya uchaguzi mkuu inatarajiwa kuanza rasmi katika siku zijazo, Bw Shorten ali lenga bajeti iliyo tangazwa jumanne kwaku sisitiza vipaumbele vya chama cha Labor.
Baadhi ya vipaumbele hivyo ni:
Afya, elimu, miundombinu pamoja naku piga jeki wasio jiweza, badala yaku saidia matajiri kama ilivyo kawaida ya serikali.
Share





