Tangazo la bajeti ya shirikisho linapo karibia, mashirika mengi ya jamii yanajiuliza je serikali imetenga hela zozote kwa miradi yetu?
Idhaa ya Kiswahili ya SBS imezungumza na mwenyekiti wa shirika la misaada la GLAPD Int, ambaye alitueleza matarajio yake kutoka kwa bajeti ya shirikisho.
Share






