Shule zinazo funza kuogelea zinakabilianaje na janga la coronavirus?

Mwalimu amfunza mtoto kuogelea

Mwalimu amfunza mtoto kuogelea Source: N.Filippova (Submitted)

Kujifunza kuogelea ni sehemu ya tamaduni kwa watoto nchini Australia.


Ila kama sekta zingine zote, shule zinazofunza kuogelea zime lazimishwa kufungwa kwa sababu ya vizuizi vya coronavirus.

Idhaa ya Kiswahili ya SBS inakuletea taarifa kuhusu jinsi watoto wanaweza jifunza usalama wa maji, wakati wa janga na, madhara yakufungwa kwa shule zinazo funza kuogelea zinaweza sababisha kwa wa Australia.

Na unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu coronavirus, katika lugha yako kwenye tovuti hii: sbs.com.au/coronavirus


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service