Simorex The General, ndani ya studio za SBS Source: SBS SwahiliWasanii wa muziki kutoka Tanzania wamejipa umaarufu duniani kote, kupitia utunzi na miondoko ya miziki yao.
Published
By Gode Migerano
Presented by Gode Migerano
Source: SBS
Skip to podcast episode contentShare this with family and friends
Wasanii wa muziki kutoka Tanzania wamejipa umaarufu duniani kote, kupitia utunzi na miondoko ya miziki yao.
Simorex The General ni rapa kutoka Tanzania anaye ishi Sydney, Australia.
Alitembelea Idhaa ya Kiswahili ya SBS, nakuweka wazi maendeleo, changamoto na mpango wake wakutawala rap ya Tanzania.