SBS Swahili ilimpokea Bw James Ole Mpelei, mkurugenzi wa elimu katika shirika la So They Can Kenya. Makao makuu ya shirika hilo yako nchini Australia. Bonyeza hapo juu usikie mahojiano kamili.
Kwa maelezo zaidi kuhusu shirika la So They Can, tembelea tovuti yao:
www.sotheycan.org
Share





