Viongozi wa timu za DR Congo na Burundi, waonesha medali na vikombe walivyo shinda katika michuano iliyo andaliwa na shirika la GLAPD Int'l Source: SBS Swahili
Shirika la GLAPD International hivi karibuni, lili wa andalia wanachama wake tamasha la michezo.