Ssaru "Mwanzoni familia hawakutaka tuwe wasanii"

Tipys Gee, Ssaru na Sean MMG ndani ya studio ya SBS AUDIO, Sydney, Australia.JPG

Kila kukicha sekta ya sanaa nchini Kenya, huwakaribisha wasanii wapya.


Baadhi ya wasanii hao wame pata umaarufu mkubwa, wakati wengine huvuma ghafla na nyota zao kuzimika ghafla pia.

Wasanii Tipsy Gee, Ssaru na Sean MMG kutoka Kenya, walitembelea studio za SBS Swahili hivi karibuni ambako wali funguka kuhusu walivyo ingia katika sekta hiyo, mafanikio pamoja na changamoto wanazo kabiliana nazo kuanzia nyumbani hadi katika soko la muziki.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service