Taarifa ya Habari

SBS World News Bulletin Source: SBS
Kanisa la Australia lakusanya fedha za kampeni za Israeli Folau ambazo zinakaribia dola nusu milioni; Jiji la Sydney latangaza rasmi "dharura ya tabia nchi", Sweden yatinga robo fainali Kombe la Dunia la Wanawake baada ya kuichapa Canada.
Share