Taarifa ya Habari

SBS World News Bulletin Source: SBS
Kuna uwezekano mkubwa wa uvunjaji wa sheria za ajira baada ya waziri Christopher Pyne kutoa wito kwa kamati kuchunguza suala hilo. Waustralia wahaidiwa, huduma bora za kibenki chini ya kanuni mpya. Kiongozi mpya wa chama cha Labor kutoka jimbo la New South Wales, Jodi McKay amesema yuko tayari kuanza kujenga imani ya wapiga kura na uaminifu katika chama. Je Ashleigh Barty, kushinda Wimbledon?
Share