Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Ujerumani wafanya unyama, Japan na Uholanzi ziki ng'ang'ania alama moja

FIFA World Cup 2026: Netherlands Vs Japan JUN 14 - WC Daily

Die Spieler Deutschlands feiern ihr sechstes Tor während des Gruppenspiels der FIFA-Weltmeisterschaft 2026 zwischen Deutschland und Curaçao im Houston Stadium in Houston am 14. Juni 2026. (Foto von RONALDO SCHEMIDT / AFP) Source: AFP / RONALDO SCHEMIDT / AFP

Ujerumani umeanza vyema kampeni yao ya Kombe la Dunia la 2026, ikiwashinda Curaçao inayo shiriki katika michuano hiyo kwa mara ya kwanza kwa mabao 7-1 katika Kundi E katika Uwanja wa Houston, Marekani.


Published

Updated

By Yumi Oba

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Ujerumani umeanza vyema kampeni yao ya Kombe la Dunia la 2026, ikiwashinda Curaçao inayo shiriki katika michuano hiyo kwa mara ya kwanza kwa mabao 7-1 katika Kundi E katika Uwanja wa Houston, Marekani.


Sikiliza makala yetu yaliyo rekodiwa hapa

Wakati huo huo mjini Dallas, Kundi F ilifunguliwa kwa sare ya magoli mbili kila upande Uholanzi ilipo kabiliana na Japan.

Nako mjini Philadelphia, Côte d'Ivoire na Ecuador zilikabiliana kwa mara ya kwanza katika Kombe la Dunia.

Côte d'Ivoire ilipiga hatua kubwa mbele, baada ya Amad Diallo kufunga bao la pekee nala ushindi katika dakika ya 90 na kuihakikishia ushindi wa 1-0, wakati huo huo, Sweden imecharaza Tunisia magoli 5-1 katika Uwanja wa Monterrey, Mexico.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Latest podcast episodes

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now