Kitongoji cha ufukwe mjini Sydney, chapata onjo ya vyakula vyaki Afrika

Wanajumuiya na viongozi wa Shukrani Home Foundation, baada yaku hudhuria mchango wa shirika hilo mjini Sydney, Australia Source: SBS Swahili
Kitongoji cha Mirandi mjini Sydney, NSW kili pata onjo ya vyakula vyaki Afrika, katika tukio maalum lamchango wa shirika la Shukrani Home Foundation ambalo hutoa misaada nchini Kenya. SBS Swahili ilizungumza na walio andaa tukio hilo.
Share




