Taarifa ya habari 12 Julai 2020

News logo

Source: SBS

Wanafunzi jimboni Victoria kutoka shule za chekechea hadi kidato cha 10, lazima wasomee nyumbani hadi amri yamarufuku yakutotangamana itakapo isha tarehe 19 Agosti.


Wanasiasa wengi na watalamu wa Marekani wamekosoa uamuzi wa Rais Donald Trump kuiondoa Marekani kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO).

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewaasa wananchi wa Zanzibar kumchagua Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar badala ya kuchagua mgombea wa chama cha upinzani ambaye bila kumtaja jina, rais Magufuli amesema ni mzee na amekuwa akigombea kila mara na anashindwa.

Rais wa Mali anayekabiliwa na misukosuko Ibrahim Boubacar Keita, ametangaza kuvunjiliwa mbali mahakama ya katiba katika juhudi za kuzima machafuko yanalolikumba taifa hilo huku viongozi zaidi wa upinzani wakikamatwa.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service