Taarifa ya Habari 12 Septemba 21

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS Swahili

'Kiwango kikubwa cha matumaini kwa familia': Australia yapata kiasi cha ziada cha chanjo za Moderna kutoka Ulaya.


Jimbo la Victoria kuweka vituo vya chanjo mashuleni

Na wakazi wa Sydney Magharibi wakasirishwa na wakazi wa maeneo ya ufukweni kulanda landa.

Na kwenye Taarifa za kimataifa tunaarifiwa kwamba,


Marekani yawakumbuka waliopoteza maisha 9/11

Na wafungwa wa Kipalestina waliotoroka, wakamatwa Israel

Michezo

Timu ya Yanga yaanza kindumbwendumbwe cha ligi mabingwa barani Afrika leo

Ronaldo na Eduardo waanza vyema ligi kuu ya Uingereza


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service