Taarifa ya Habari 15 Agosti 2021

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS Swahili

Maafisa wa afya jimboni New South Wales wana wasiwasi kuhusu jamii zawatu wa asili katika eneo la magharibi ya jimbo hilo, ambako kesi mpya 21 zimetambuliwa.


Zaidi ya kesi mpya 400 za COVID-19 ndani ya jamii, pamoja na vifo vinne vya ziada vimerekodiwa jimboni humo.

Makatazo ya jimbo nzima, ambayo yame anza leo jumapili 15 Agosti, yanafunika eneo zima la kanda ya New South Wales. Darriea Turley ndiye meya wa Broken Hill, amesema eneo hilo lilistahili kuwa chini ya makatazo hayo wiki kadhaa zilizo pita.

Wanamgambo wa Taliban wamekaribia kuithibiti nchi nzima ya Afghanistan, huku mji mkuu wa nchi hiyo Kabul ukiwa umedhibitiwa pia na serikali.Mapema leo Jumapili wanamgambo hao wameinyakua Jalalabad, bila mapigano. Jiji hilo lipo Mashariki mwa nchi. Hatua hiyo ilifuatia kudhibitiwa kwa kwa miji muhimu wa shughuli za kiseriali wa Mazar-i-Sharif uliopo kaskazini hapo jana Jumamosi.

 

 

 


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service