Jimbo la NSW larekodi visa 452 vya Uviko 19 Huku ikirekodi visa 24, Waziri Victoria ashutumu jamii ya Wayahudi kukiuka sheria za Uviko 19 Nalo Jimbo la ACT laonywa kuongezeka maambukizi baada ya visa 17 kutangazwa leo
Katika Habari za Kimataifa,
Mchunga Ng'ombe aibuka kuwa Rais wa Zambia
Na Wananchi wahaha viwanja vya ndege Afghanistani
Na katika Micheo,
Simba na Yanga zakita kambi Morocco
Na huko Uingereza, Tonganga awafunika Grealish na Sterling.
Gonga kwenye kiunganisho kusikiliza zaidi.
Share






