Taarifa ya habari 18 Mei 2021

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS Swahili

Ubaguzi wa rangi waendelea kuwa tishio Australia Na mmkazi mmoja ashambuliwa na kuuawa na papa huku Mfanyabiashara wa pili wa Australia afariki kwa Corona India


Tume ya uchunguzi, yabaini watoto wengi kunyanyaswa,

Wafanyabiashara wamshinikiza Waziri Mkuu Australia kufungua mipaka ya nchi,

Na katika michezo, Muaborigino wa kwanza wa kike kuanza kuchezesha mpira wa kikapu wakati huko Uingereza, wachezaji wa zamani wataka mdhibiti huru kwenye soka.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service