Taarifa ya habari 19 Julai 2020

Bango la taarifa ya habari la SBS

Bango la taarifa ya habari la SBS Source: SBS

Wakaazi wa miji ya Melbourne na Mitchell Shire, watakiwa kuvaa barakoa au kitu kinacho funika uso kuanzia alhamisi wiki ijayo.


Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema leo kuwa kuna uwezekano wa viongozi wa Umoja wa Ulaya kutoafikia makubaliano katika siku ya tatu ya mazungumzo kuhusu mipango ya kuimarisha chumi za mataifa ya Umoja huo ambazo zimeathirika kutokana na janga la virusi vya corona.

John Robert Lewis, shujaa wa kupigania haki za kiraia kwa ajili ya Wamarekani Weusi na Mwakilishi wa muda mrefu katika Baraza la Wawakilishi Marekani, amefariki akiwa na umri wa miaka 80.

Watu wakongo na waafrika kwa ujumla waomboleza kifo cha msomi, mwanasiasa na mwanaharakati profesa Ernest Wamba dia Wamba, aliyefariki Mbanza Nugu huko Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Taarifa ya habari 19 Julai 2020 | SBS Swahili