Taarifa ya habari 23 Agosti 2020

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS Swahili

Uchaguzi wa wilaya ya kaskazini waendelea kuto tabirika, na vikao vya bunge la taifa kuanza tena wiki ijayo katika hali yakipekee.


Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema kuwa anamatumaini janga la corona litakomeshwa ndani ya miaka miwili.

Mwanasiasa mashuhuri wa upinzani wa Russia Alexei Navalny ambaye yuko mahututi baada ya tuhuma za kuwa alipewa sumu, amewasili katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin, Jumamosi asubuhi kwa ndege maalum, ambako atapatiwa matibabu katika hospitali kuu mjini hapo.

Ujumbe maalum wa Jumuia ya Uchumi ya Afrika Magharibi, ECOWAS, ukiongozwa na Rais wa zamani wa Nigeria Goodluck Jonathan umewasili mjini Bamako, Mali kukutana na viongozi wa baraza la kijeshi lililomlazimisha Rais Ibrahim Boubacar Keita kuachia madaraka na serikali yake mapema wiki hii.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Taarifa ya habari 23 Agosti 2020 | SBS Swahili