Kiongozi wa jimbo la Victoria anaendelea kuwa na matumaini kuwa bunge la jimbo hilo, litaruhusu hali ya dharura jimboni humo iongezwe kupitia Septemba, kama sehemu yaku kabiliana na janga la coronavirus.
Mazungumzo nchini Mali yanayolenga kutatua mzozo wa kisiasa unaoendelea kufuatia mapinduzi yaliofanyika wiki iliopita yamemalizika bila makubaliano.
Rais wa Tanzania na mgombea wa urais kupitia chama tawala cha CCM, John Pombe Magufuli amerejesha fomu ya kugombea urais Tune ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Uganda inawarudisha nyumbani wanadiplomasia wake wanaohusishwa na kashfa ya kupanga kugawana fedha za umma kuvuja katika mazungumzo yao yaliokuwa yamerikodiwa.
Share





