Taarifa ya habari 26 Julai 2020

Bango la taarifa ya habari la SBS

Bango la taarifa ya habari la SBS Source: SBS

Serikali yashirikisho yakabiliwa kwa ukosoaji mkali kuhusu inavyo simamia maswala yakudorora kwa uchumi.


Idadi ya maambukizi ya virusi vya Corona kote duniani imepindukia milioni 16 kufikia leo Jumapili.

Katika ibada takatifu ya kuaga mwili wa rais wa zamani wa Tanzania Benjamini William Mkapa inayofanyika jijini Dar es salaam Tanzania, Familia yake imethibitisha kuwa alifariki kwa mshituko wa moyo.

Rwanda imetangaza kukubali mtu asiye na uraia wa taifa lolote kwa sababu za kibinamu Adham Amin Hassoun ambaye alihamishwa kutoka Marekani baada ya kukamilishi hukumu yake jela.

 


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service