Taarifa ya habari 28 Juni 2020

Bango la taarifa ya habari la SBS

Bango la taarifa ya habari la SBS Source: SBS

Serikali ya NSW yazindua kampeni mpya yakutoa uelewa kwa umma, dhidi ya ubaguzi wa rangi kuwasaidia waathiriwa wa visa vya ubaguzi wa rangi kuelewa haki zao.


Ikulu ya White House imekanusha madai kuwa rais Donald Trump aliarifiwa kuhusu ripoti ya kijasusi ilionesha kuwa Urusi ilitoa zawadi kwa wanamgambo wanaohusishwa na kundi la Taliban kwa mauaji ya wanajeshi wa Marekani nchini Afghanistan.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) amepinga kitendo cha kukamatwa kwa waziri wa sheria, akisema serikali ya mseto inaweza kuvunjika juu ya suala hilo na kumtaka rais kuwahakikishia mawaziri utetezi wa kisheria.

Kiongozi wa upinzani aliyetangazwa mshindi katika uchaguzi wa marudio nchini Malawi Lazarus Chikwera ameapishwa kuingia madarakani.

 


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service