Australia yaaripoti vifo 88 vya COVID-19 huku kulazwa hospitalini kukiendelea kupungua wakati huo huo Wasiwasi mkubwa wazuka wakati wanafunzi wanapojiandaa kurejea madarasani
Barnaby Joyce atetea uamuzi wa serikali ya shirikisho kutounga mkono kifurushi cha usaidizi wa biashara cha NSW
KIMATAIFA:
Balozi za Ulaya zatoa tahadhari kuhusu tishio la kigaidi Kenya
Juma Duni Haji ateuliwa kuwa mwenyekiti mpya ACT Wazalendo
MICHEZO:
Muastralia Ahleigh Barty anyakuwa taji la michuano ya wazi Australia kwa uande wa wanawake.
AFCON, Wenyeji Camroon watinga nusu fainali
Share






