Taarifa ya habari 30 Julai 2020

Bango la taarifa ya habari la SBS

Bango la taarifa ya habari la SBS Source: SBS

Ongezeko ya maambukizi ya Coronavirus yalazimisha serikali ya jimbo, kuweka vikwazo vikali kwa baadhi ya vitongoji.


Kansela wa Ujerumani Angela Merkel na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron wamehimiza juu ya mpango wa ufufuaji uchumi ulio na nguvu na madhubuti kwa ajili ya Umoja wa Ulaya, wakitaka mpango huo ujadiliwe mwezi ujao.

Rais mpya wa Burundi Evariste Ndayishimiye ameteua baraza jipya, lenye jumla ya mawaziri 15, wanaume 10 na wanawake wa 5. Baraza lazamani lamawaziri chini ya utawala wa hayati, Rais Pierre Nkurunziza lilikuwa na mawaziri 21.

Serikali ya Tanzania imetoa mwongozo mpya wa ufunguzi wa shule, vyuo na taasisi nyengine za elimu wakati ambapo taasisi zote za elimu zimefunguliwa tena kuanzia Jumatatu Juni 29,2020.

 

 

 


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service