Taarifa ya Habari 4 Janauri 22

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS Swahili

Australia inarekodi zaidi ya kesi 37,000 mpya za COVID-19 kwa siku moja huku kulazwa hospitalini kukiongezeka


Hofu ya mlipuko mwingine mbaya jumba la Newmarch mjini Sydney baada ya vipimo vya mfanyakazi kuonyesha ana virusi wakati huo huo Milipuko ya COVID-19 Australia yapamba moto na kuvuka zaidi ya 500,000 tangu janga kuanza.

Na katika Habari za Kimataifa, Spika wa Bunge Tanzania amuomba radhi Rais Samia na Wananchi.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service